Wanariadha wa timu ya Mwanza (njano) na Timu ya Dodoma (nyeusi)wanaoshiriki katika mbio za Bendera ya Taifa za Kili kutoka Mjini Mwanza na Dodoma walipokutana katika Mji wa Karatu mkoani Manyara wakielekea mjini Moshi ambapo jumla ya wanariadha 60 walikimbiza bendera za rangi ya njano na Nyeusi kupitia Kampeni ya Jivunie utanzania inayoenda sambamba na miaka 50 ya Uhuru kwa udhamini wa Bia ya KIlimanjaro Premium Lager.
Wanariadha wa timu ya Mwanza (kulia) na Timu ya Dodoma wanaoshiriki katika mbio za Bendera ya Taifa za Kili kutoka Mjini Mwanza na Dodoma walipokutana katika Mji wa Karatu mkoani Manyara wakielekea mjini Moshi ambapo jumla ya wanariadha 60 walikimbiza bendera za rangi ya njano na Nyeusi kupitia Kampeni ya Jivunie utanzania inayoenda sambamba na miaka 50 ya Uhuru kwa udhamini wa Bia ya KIlimanjaro Premium Lager.
Kundi la wanariadha wanaoshiriki katika Mbio za Bendera ya Taifa za Kili wakiwa kilomita chache kutoka Mji wa Korogwe Mkoani Tanga jana. Jumla ya Wanariadha 30 wanaikimbiza bendera hiyo wakitokea Mkoa wa Dar es Salaam kuelekea Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro kupitia kampeni ya "Jivunie Utanzania" inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambapo wataungano na wenzao kutoka mikoa mingine ili kuipandisha katika Mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru.
No comments:
Post a Comment