Mkufunzi wa Lugha ya kichina YU WEN JUAN akiwa katika ufundishaji wa lugha hio hapo katika chuo cha uwandishi wa habari kiliopo Vuga Mjini Zanzibar.
Mkufunzi wa lugha ya kichina YU WEN JUAN akiwaonesha wanafunzi kikaratasi kilicho andikwa lugha ya kichina katika chuo cha uwandishi wa habari huko Vuga Zanzibar.
Naibu Waziri wa Mamlaka ya Redio,Filamu na Televisheni wa Jamhuri ya watu wa China LI WEI akizungumza na wanafunzi wanaofundishwa lugha ya kichina katika chuo cha Uwandishi wa Habari huko Vuga mjini Zanzibar.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment