HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 20, 2011

Libeneke la Mtaa kwa Mtaa ndani ya Mji wa Iringa,Wenye mji wenu Mpoo???

 Hivi ndivyo sehemu ya mji wa Iringa unavyoonekana kama kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilivyofanikiwa kuzinasa Taswira hizi ilipozuru Mkoani Humo.Pia naomba kutumia Fursa hii kuwaomba Radhi Wadau woote wa Libeneke hili la kwa kutokuwepo hewani kwa takribani siku tatu mfululizo.Hali hiyo ilikuja kutikana na sababu zisizoweza kuzuilika ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu.hivyo nawaombeni radhi sana na kuwaahidi kuwa libeneke letu la Mtaa kwa Mtaa linaendelea kama kawa na kuna mambo kibao mapya,hivyo wala msikonde.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad