Baadhi ya Wahitimu wa MUM waliopokea Nondozz zao jana katika Chuo Kikuu cha Kiislamu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chuo katika mahafali ya nne ya Chuo Kikuu hicho cha Kiislamu kilichopo mjini Morogoro. Mkuu wa Chuo hicho, Mama Mwatumu Malale alitunuku shahada ya kwanza kwa wahitimu 272 wa fani mbalimbali za kielimu.
Baadhi ya Wahitimu wa MUM wakisubiria kupata Nondozz zao jana katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha mjini Morogoro.Picha na Mdau wa Globu ya Jamii,Morogoro.

No comments:
Post a Comment