Mkuu wa Mkoa wa Tanga Luteni Mstaafu Chiku Gallawa(aliesimama) akitoa hotuba ya ufungaji wa mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka 2011 yalimalizika jana jijini Tanga.
Timu ya Mpira wa Migu ya Hazina wakishangalia ushindi wao mara baada ya Timu ya Uchukuzi kugomea kugipa penati mara baada ya dakika 90 kumalizika huku wakiwa wamefungana bao 1-1.
Wachezaji
wa Timu ya Hazina wakiandamana kupita mbele ya mgeni rasmi
wakati wa sherehe za ufungaji wa mashindano ya SHIMIWI yaliyofanyika
mkoani Tanga jana.
Nahodha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Hazina Respecious Mugisha akipokea Kombe la Ushindi wa Kwanza wa mashindano ya SHIMIWI kwa 20011 kutoka kwa mgeni rasmi,Mkuu wa Mkoa wa Tanga Luteni Mstaafu Chiku Gallawa(pili kushoto) mara baada ya kuibuka mabigwa wa SHIMIWI kwa mwaka 2011 kwa mpira wa miguu kufuatia timu ya uchukuzi kugoma kupiga penati ya kuamua mshindi wa fainali baada ya mchezo kumalizika wakiwa wamefungana bao 1-1
Mkuu wa Tanga Luteni Mstaafu Chiku Gallawa(wa tatu kushoto) akiwavisha medali wachezaji wa timu ya mpira ya Hazina jana jijini Tanga mara baada ya kuibuka mabigwa wa SHIMIWI kwa mwaka 2011 kufuatia timu ya uchukuzi kugoma kupiga penati ya kuamua msindi wa fainali baada ya mchezo kumalizika wakiwa wamefungana bao 1-1.
Meza kuu ikiwa tayari tayari kuwapongeza mabingwa.
Wachezaji wa timu ya mpira wa Miguu ya Hazina wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi na washabiki wao jana jijini Tanga mara baada ya kuibuka mabigwa wa SHIMIWI kwa mwaka 2011 kwa mpira wa miguu kufuatia timu ya uchukuzi kugoma kupiga penati ya kuamua msindi wa fainali baada ya mchezo kumalizika wakiwa wamefungana bao 1-1








No comments:
Post a Comment