HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 2, 2011

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania watembele kiwanda cha TBL leo


 Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tanzania 2011, wakiwasili katika viwanja vya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) leo kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji mali zinazoendeleo katika kampuni hiyo ambayo ni mmoja wa wadhamini wa shindano hilo kupitia kinywaji cha Redds.
 Warembo wakivaa miwani ya kujikinga na vitu vya kupasuka kabla ya kuingia kiwandani.
 Wartembo wakipatiwa maelezo ya namna shughuli za uzalishaji Bia unavyofanyika.
Victoria Kimaro Meneja wa Kinywaji Redds akizungumza baada ya ziara hiyo ya warembo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad