HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 2, 2011

Chezea Magufuli wewe.....

Kituo cha Mafuta cha MT Camel kilichokuwa kinajengwa sangasanga Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro katika kona ya kuingilia barabara ya Mzumbe-Mlali kilikumbwa na dhoruba ya kubomolewa baada ya kujengwa katika hifadhi ya barabara,hali hii imekuja kutokana na kauli ya Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufuli  aliyoitoa hivi karibuni kupitia vyombo vya habari mbali mbali kuwa zoezi la kubomoa nyumba na vituo kama hivi vilivyojengwa barabarani litakuwa ni la kasi na kushirikisha askari wa jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad