HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 2, 2011

shule ya Msingi Changarawe yapokea msaada wa kompyuta


Mbunge wa jimbo la Mvomero mkoani Moropgoro (CCM) Amos Makala (kushoto) akikabidhi compyuta na printa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya shule ya Msingi Changarawe iliyopo Kata ya Mzumbe, Makunza Mloka. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni shule hapo baada ya Mbunge huyo awali kuipa fedha shule hiyo kwaajili ya kuingia umeme uliogharimu zaidi ya sh Milioni 4. Anaeshuhudia katikati ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Cryspin Chimbamizungu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad