LEO NI SIKUKUU YA KRISMAS AMBAYO INAWAUNGANISHA WATU WOOTE DUNIANI KUISHEREHEKEA KWA PAMOJA.HIVYO MTAA KWA MTAA BLOG IKIWA NI SEHEMU YA MAPITIO YENU NA KUPATA MAMBO MBALI MBALI,INAWATAKIENI SIKUKUU NJEMA WADAU WOOTE NA POPOTE MLIPO DUNIANI NA MUISHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU MKUBWA.
AHSANTENI NA SIKUKUU NJEMA.
-OTHMAN.
No comments:
Post a Comment