HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 24, 2010

super d alamba nondozz yake ya ukocha wa nondi nchini

Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi nchini, John Eyebel kutoka Chikago nchini Marekani akimtunuku cheti muhitimu wa mafunzo ya ukocha wa klabu ya Ashanti, Rajabu Mhamila ,Super D baada ya kumaliza kozi hiyo
Kocha wa Ashanti Boxing,Rajabu Mhamila 'Super D ' wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu hiyo baada ya kutunukiwa cheti chake. kushoto ni Juma Mwalimu Miwani ,Emanuel Mgaya na Iddy Ramadhani
Kocha wa Ashanti Boxing, Rajabu Mhamila 'Super D' akionesha cheti alichotunukiwa na BFT leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad