HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 30, 2010

Wapenda Soka tu: mnamjua huyu???

aliwahi kuichezea timu ya Taifa miaka ya nyuma sana ila vilabu alivyochezea sivitaji,je mnamjua ni nani huyu???

7 comments:

  1. Huyo ni golikipa mashuhuri wa zamani Juma Pondamali (Mensah) alishawahi kuwa kipa no1 wa Taifa Stars, Yanga na Pan Africa na sasa ni kocha wa makipa wa Taifa Stars.
    mdau Paka la Jikoni UK.

    ReplyDelete
  2. huyu ni mwabuda wa african sport tanga pia alichezea taifa stars miaka ya sabini, sina uhakika lakini

    ReplyDelete
  3. HUYO NI ATHUMANI KITWANA AMBAYE ALIKUWA KIPA MASHUHURI BAADAYE ALIBADILI NAMBA NA KUWA MFUNGAJI WA KIMATAIFA AMECHEZEA TAIFA NA YANGA.

    ReplyDelete
  4. huyu ni abeid mziba aliwahi kudakia timu ya bukoli sekondali ila alikuwa ni mkoma wa vidole vya mikono.
    kama sii huyu basi wanafanana ila ni yeye abeid mziba

    ReplyDelete

Post Bottom Ad