Huyo ni golikipa mashuhuri wa zamani Juma Pondamali (Mensah) alishawahi kuwa kipa no1 wa Taifa Stars, Yanga na Pan Africa na sasa ni kocha wa makipa wa Taifa Stars. mdau Paka la Jikoni UK.
huyu ni abeid mziba aliwahi kudakia timu ya bukoli sekondali ila alikuwa ni mkoma wa vidole vya mikono. kama sii huyu basi wanafanana ila ni yeye abeid mziba
Huyo ni golikipa mashuhuri wa zamani Juma Pondamali (Mensah) alishawahi kuwa kipa no1 wa Taifa Stars, Yanga na Pan Africa na sasa ni kocha wa makipa wa Taifa Stars.
ReplyDeletemdau Paka la Jikoni UK.
huyu ni mwabuda wa african sport tanga pia alichezea taifa stars miaka ya sabini, sina uhakika lakini
ReplyDeleteabeid mziba
ReplyDeleteHuyu ni JUMA PONDAMALI
ReplyDeletebob chopa
ReplyDeleteHUYO NI ATHUMANI KITWANA AMBAYE ALIKUWA KIPA MASHUHURI BAADAYE ALIBADILI NAMBA NA KUWA MFUNGAJI WA KIMATAIFA AMECHEZEA TAIFA NA YANGA.
ReplyDeletehuyu ni abeid mziba aliwahi kudakia timu ya bukoli sekondali ila alikuwa ni mkoma wa vidole vya mikono.
ReplyDeletekama sii huyu basi wanafanana ila ni yeye abeid mziba