msela anaefanya biashara ya kuuza bidhaa ndogo ndogo, akiwa amepiga mbonji baada ya kupitiwa na usingizi.hali hii huwa inawatokea wafanya biasahara wengi sana wa namna hii kutokana na hali ya uchovu wa siku nzima.
No comments:
Post a Comment