HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 27, 2009

Eid Mubaraq Wadau


Napenda kutumia fulsa hii kuwatakia heri na fanaka ya sikukuu ya Eid El Hajj ndugu zangu waislamu na hata wasio waislam popote pale walipo katika Dunia hii kwa kuungana kwa pamoja kuisherehekea sikukuu hii,tunapaswa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu na kuwaombea Dua wale ndugu zetu waliojaaliwa kwenda Makka kukamilisha ibada ya Hijjah,kwani ni wengi wangependa kwenda Kuhiji Makka,ila bado Mwenyezi Mungu hajawajaalia.

hivyo tunapaswa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kufikia siku hii ya Eid El Hajj na pia tunapaswa kuisherehekea sikukuu hii kwa amani na utulivu mkubwa na tujitahidi tusifanye maasi katika siku hii .nawatakia kila la kheri katika hilo Inshaa-Allah


Eid Mubarak!

-Othman Michuzi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad