HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 27, 2009

Shukrani kutoka kwa mdau

Mambo!
Naomba nichuke nafasi hii kwa niaba ya uongozi na wanajumuiya nzima ya wanafunzi wa Hyderabad kwa moyo wenu wa upendo na ushirikiano.
Tunasema asante sana maana bila nyie huwenda taarifa za msiba wa mwenzetu Bernard Lema zisingesambaa kwa kasi na kuwafikia ndugu, jamaa na marafiki kokote kule walipo.
Mungu awazidishie sana.

Wenu kwenye ujenzi wa taifa,
Daniel John Masimbusi (Senator),
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa TSAH.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad