
mdau Albert Lweja akiwa ni mwenye furaha baada ya kulamba Nondozz yake ya Sheria katika Chuo kikuu cha Dar Es Salaam.

Albert Akiwa na Marafiki zake pamoja na wadogo zake

nami nilipata picha moja ya kumbukumbu na rafiki yangu Huyu ambaye tukuwa pamoja tangu enzi hizooooooo za nanihii kule nanihii.

hii ndio shida ya kupenda picha,unasinzia lakini wapi unataka lazima na wewe uwemo tuu.hapa nipo na William Lweja ambaye ni mdogo wake na Albert baada ya kusherehekea kimtindo pande za home kwa kina Albert.
No comments:
Post a Comment