HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 6, 2008

Alhaji Mwintanga Atiwa Mbaroni

Rais wa shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (TBF) Alhaj Shaaban Mwintanga anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini katika kituo cha barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kwa mahojiano akihusishwa na sakata la kukamatwa mabondia wa timu ya taifa nchini Mauritius katikati ya Juni mwaka huu wakiwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine yenye thamani ya mamilioni ya shilingi. Alhaji Mwintanga alitiwa mbaroni juzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad