HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 7, 2008

Kazi Zingine Noma Kweli!


Kuna mdau kanitumia hii na kusema maneno yafuatayo,Kama wewe unadhani unafanya kazi katika mazingira magumu na ya hatari, basi fikiria mara mbili na pengine mshukuru Mungu kwa kuwa na kazi hiyo ambayo bila shaka haiwezi kuwa ya hatari zaidi kuliko ya hawa jamaa ya kusaka mijoka mikubwa na hatari kwa staili yao hii....!
ama kweli kazi zingine ni noma!!




2 comments:

  1. Mmh..... hii hata kwa vipi sitofanya. Naogopa vinyoka vidogo, hiyo ndio nitazimia kabisaaaaa

    Mama

    ReplyDelete
  2. huyu jr kabandika hapa ila na yeye anaogopa lool.
    mi kwanza hata sitaki kuangalia.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad