huku sebene likiwa linaendelea nyuma yetu,nami niliamua kupiga konozz na mdau Rt kwa ajili ya picha ya kumbukumbu.mungu amjaalie binti huyu maisha marefu ili na mwakani atualike tena.haha haha haha hah hahahh .
Hongera sana. Inafurahisha kuwaona mkikutana na kujumika pamoja.
ReplyDeleteMama