HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 21, 2023

YANGA YAVUNJA MWIKO WA MIAKA 25 BILA USHINDI

 

TAKRIBANI miaka 25 imepita tangu Yanga aingie hatau ya makundi bila kushinda mchezo wowote kwenye kundi lake mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1998 ambapo alikuwa na miamba kama ASEC Mimosas aliyemaliza na alama 13, Manning Rangers alama 10, Raja Casablanca alama 8, na Yanga aliyemaliza na alama 2.

Katika kundi hilo Yanga alipokea kichapo kizito cha 6-0 dhidi ya Raja Casablanca, akapokea 3-0 kutoka kwa ASEC, akapokea kipigo 4-0 kutoka kwa Manning Rangers lakini mechi ya marudiano alitoa sare ya 3-3 na Raja, 1-1 na Manning Rangers.

Michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea wawakilishi wa nchi Simba na Yanga wanazidi kukupa maokoto kila siku ukibashiri Meridianbet, kila mechi odds kubwa na machaguo Zaidi ya 1000.

Ushindi mkubwa wa Jumatano ya 20/12/2023 wa mabao 3-0 dhidi ya Medeama FC ya nchini Ghana, umeandika historia nyingine kwa Wananchi baada ya kuvunja uteja wao wa kutokushinda mechi hata moja kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi tangu mwaka 1998.

Lakini ushindi huo ulichangiwa na juhudi za wachezaji wote, benchi la ufundi, mashabiki, na viongozi wa klabu hiyo chini ya Rais Mhandisi Hersi Said na muwekezaji Ghalib Said Mohammed (GSM) ambapo mechi ya jana ilipewa heshima ya jina lake na mashabiki kuingia bure.

Bado una nafasi ya kufurahia ushindi huu wewe mwananchi na wenye nchi, bashiri soka na cheza kasino ya mtandaoni MERIDIANBET. CHEZA HAPA.

Wachezaji hawa ni wa kuchungwa Zaidi Yanga.
Professor Pacome Zouzouoa anahitaji nini tena kuthibitisha ubora wake, alianza kama masihara saivi gari limewaka binafsi huyu ndio mwenye funguo za ushindi kwa Yanga SC anaibeba sana timu mgongoni mwake.

Khalid Aucho What a Player huyu ndio mtunza remote wa yanga anachagua tu jinsi gani timu icheze, ni ngumu kuona nafasi yake lakini yeye hulinda mabeki wake na kuipandisha timu juu kwenda kushambulia ana haki ya kuitwa National team ya Uganda.

Ukicheza kasino ya mtandaoni ushindi ni rahisi, na ukibashiri soka kwa odds kubwa kuwa tajiri ni suala la muda tu. Jisajiri MERIDIANBET na ongeza salio kupitia wakala wa CICO aliyepo karibu nawe.

Djigui Diara kipa bora wa Ligi kuu ya NBC, aliingia kwenye kinyag'anyiro cha walinda mlango bora wa Afrika sio kwa bahati mbaya ni kwa uwezo wake, bado anaendelea kuthibitisha daraja lake ni kubwa sana ni sawa na Mbingu na Ardhi. Hapa Tanzania kwa sasa Diara ni Case Study ya Magolipa wengi yaani ni Role Modal wa wengi.

NB: Meridianbet ukijisajiri tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad