HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 22, 2023

MBUNGE DR ALICE KAIJAGE AWATAKA WAKURUGENZI KULIPA POSHO WATENDAJI

Mbunge wa vitu maalum kupitia kundi la wafanyakazi Dr Alice Kaijage amewataka wakurugenzi wote kuwalipa posho ya madaraka Kwa maafisa watendaji kata na vijiji ili kuongeza morali ya kazi katika kituo Cha kazi

Akizungumza na wafanyakazi wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea Mbunge Dr Alice Kaijage alisema kuwa watendaji wanatakiwa kulipwa sh laki Moja Kila mwezi Kwa kuwa posho hiyo ipo kisheria.

Alisema kuwa watendaji wamekuwa wanafanya kazi ngumu kuliko wakurugenzi wanavyofikiri, watendaji wapo kazi muda woteNo comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad