HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 11, 2023

WIKIENDI YA KUKUSANYA MKWANJA NA MERIDIANBET

 

KAMA ilivyo ada kila wikiendi imekua fursa ya kutengeneza mkwanja wako na Meridianbet vivohivo wikiendi hii pia inakupa fursa ya kutengeneza mkwanja kupitia michezo mbalimbali itakayokwenda kupigwa.

Ligi mbalimbali zitakwenda kupigwa wikiendi hii kuanzia pale Uingereza, Hispania, Italia, Ujerumani, na hata kule Ufaransa ambapo kutakua na michezo itakayomuwezesha mteja wa Meridianbet kujitengenezea mkwanja kutokana na ODDS KUBWA zilizopo kwenye michezo hiyo.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Vilabu kama Real Madrid, Man United, Arsenal, Juventus, na Bayern Munich vitashuka dimbani kukipiga wikiendi hii huku vilabu hivo vikiwa vimepewa ODDS KUBWA pale kwenye tovuti ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet.

EPL

Manchester United wakiwa wametoka kupoteza mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya katikati ya wiki watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Luton Town, Huku wakiangalia uwezekano wa kushinda mchezo wa pili mfululizo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya wiki iliyomalizika kuifunga Fulham.

Arsenal wakiwa wametoka kupoteza mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu ya Uingereza wikiendi iliyomalizika leo watakua nyumbani katika dimba lao la Emirates kukipiga na klabu ya Burnley ambayo ina mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi hiyo.

Newcastle watakua ugenini leo katika dimba la Vitality wakicheza na klabu ya Bournamouth ambao watakua wenyeji, Huku Newcastle wakihitaji kushinda mchezo huo kuendeleza walichokifanya mbele ya Arsenal wikiendi iliyopita.

LA LIGA

Klabu ya Real Madrid leo watakua nyumbani katika dimba lao la Santiago Bernabeu kumenyana na klabu ya Valencia wakiwa na kumbukumbu ya kudondosha alama katika mchezo wao wa ligi hiyo wikiendi iliyopita dhidi ya Rayo Vallecano.

Vinara wa ligi kuu ya Hispania ambaom wamekua na fomu ya hali ya juu tangu ligi hiyo ianze mzimu huu klabu ya Girona leo watakua ugenini kukipiga na klabu ya Rayo Vallecano ambao waliilazimisha sare Real Madrid wikiendi iliyopita.

Moto utawaka pale katika dimba la Power Horse ambapo klabu ya Almeria ambayo inashika mkia itakua na kazi ya kutafuta alama tatu angalau wajinasue kutoka chini watakua wakiikaribisha klabu ya Real Sociedad.

SERIE A

Pale katika dimba la Allianz vibibi vizee vya Turin klabu ya Juventus watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Cagliari ambapo mabingwa hao wa zamani wa ligi kuu ya Italia watahitaji ushindi ili kuendelea kujiimarisha katika mbio zao za kuwania ubingwa msimu huu.

Klabu ya Ac Milan baada ya kuifunga klabu ya PSG kwenye ligi ya mabingwa ulaya katikati ya wiki leo watakua ugenini kuzisaka alama tatu muhimu dhidi ya Lecce ili kuendelea kuimarisha mbio zao za kuwania ligi hiyo msimu huu.

BUNDESLIGA

Klabu ya Bayern Munich leo watashuka dimbani katika mchezo wa Bundesliga wakimenyana na klabu ya FC Heidenheim hiyo ni baada ya kuisambaratisha vibaya klabu ya Borussia Dortmund wikiendi iliyomalizika, Leo Bayern watajitahidi kuhakikisha wanashinda mchezo huo ili kukaa kileni mwa msimamo wa ligi hiyo.

Baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Bayern Munich wikiendi iliyomalizika klabu ya Borussia Dormund leo watashuka dimbani wakijaribu kujitafuta na kurudi kwenye njia ya ushindi wakicheza ugenini na klabu ya VFB Stuttgart.

Mchezo mwingine mkali utakaokwenda kupigwa pale katika Bundesliga leo ni kati ya klabu ya Augsburg ambao watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Hoffeinhem, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali kwani vilabu vyote viwili ni vya kati na vinaweza kutoshana nguvu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad