HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 11, 2023

TAA yakabidhiwa rasmi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)

 


Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw, Mussa Mbura pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa KADCO, Christine Mwakatobe wakionesha mikataba ya makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO) uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi David Kihenzile wakishuhudia zoezi hilo.
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw, Mussa Mbura (katikati) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa KADCO, Christine Mwakatobe wakisaini makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO) uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso wakishuhudia makabidhiano ya mikataba  ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO) kati ya Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw, Mussa Mbura (katikati) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa KADCO, Christine Mwakatobe yaliyofanyika katika uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akizungumza kuhusu namna Serikali ilivyopitia michakato mbalimbali iliyofanywa hadi kufikia makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO) uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso akizungumza kuhusu kamati hiyo ilivyokuja kushuhudia makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO) uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius W. Kahyarara akizungumza pamoja na kuwatambulisha wageni waalikwa kwenye makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO) uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wabunge, Menejimenti ya Wizara ya Uchukuzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Menejimenti ya KADCO pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO) uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akiwa kwenye picha ya pamoja na Wabunge wakongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso 
wakati wa hafla ya makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO).
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Wizara ya Uchukuzi wakati wa hafla ya makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO).
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakati wa hafla ya makabidhiano ya shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa kampuni ya uendelezaji uwanja huo (KADCO).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad