MKE WA RAIS WA ZANZIBAR, AHUDHURIA MKUTANO WA "CHINA-AFRICAN WOMEN FORUM" - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 30, 2023

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR, AHUDHURIA MKUTANO WA "CHINA-AFRICAN WOMEN FORUM"

 

Baadhi ya Wake wa Marasi na Viongozi wa Jumuiya za Wanawake wa China na Afrika wakimsiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia katika mkutano wa Ushirikiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China 29-6-2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.
Washiriki wa Mkutano wa Uhushirikiano Kati ya China na Afrika “China-Afrika Woman Forum” wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ma Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kutoka kushoto wa saba) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wake wa Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake kutoka China na Afrika, wanaoshiriki katika mkutano wa Uhusiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Xiangjiang Jimbo la Hunan China.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mke wa Rais wa Malawi Mama Monica Chakwera, alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Xiangjiang China kuhudhuria mktano wa wa Ushirikiano Kati ya China na Afrika “China –African Women Forum” uliowakutanisha Baadhi ya Wake wa Marais wa Afrika,Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad