Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, Machi 29, 2023 kuanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania
(Picha Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip
Mpango (kulia) akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es
salaam, Machi 29, 2023 kuanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment