Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (watatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa Suger, Seif Ali Seif (watatu kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens kwa Ukanda wa Afrika, Sabine Dall'omo (wapili kulia) kwa pamoja wamikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa darara la tehama katika Shule ya Msingi Kiwandani, lililokarabariwa na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi huo, uliofanyika shuleni hapo jana. Kampuni ya Mtibwa Suger na Siemens zimekamilisha ukarabati wa darasa hilo lililowekewa vifaa vya kujifunzia maswala ya tehama ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono sera ya serikali ya awamu ya sita katika kuboresha elimu nchini ili kuandaa vijana wa baadae watakaoendana na soko la ajira la Dunia ya kidigitali. Wengine pichani ni kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Madizini, Goodluck Mugeta, Afisa Elimu Wilaya ya Mvomero, Bruno Sangwa pamoja na Mkuu wa Shule hiyo, Mwalimu Philemon Sokime.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (wapili kulia) pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens kwa Ukanda wa Afrika, Sabine Dall'omo wifanya tendo la ufunguzi wa darara la tehama katika Shule ya Msingi Kiwandani, Wilayani Mvomero, Morogoro lililokarabariwa
na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi
huo, uliofanyika shuleni hapo jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa Suger, Seif Ali Seif na kulia ni Afisa Elimu Wilaya ya Mvomero, Bruno Sangwa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens kwa Ukanda wa Afrika, Sabine Dall'omo muda mfupi baada ya ufunguzi wa darasa hilo.
Muonekano wa Darasa hilo.
Muonekano wa Darasa hilo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa Suger, Seif Ali Seif.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa darara la tehama katika Shule ya Msingi Kiwandani, Wilayani Mvomero, Morogoro lililokarabariwa
na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi
huo, uliofanyika shuleni hapo jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa Suger, Seif Ali Seif akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa darara la tehama katika
Shule ya Msingi Kiwandani, Wilayani Mvomero, Morogoro lililokarabariwa
na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi
huo, uliofanyika shuleni hapo jana.
No comments:
Post a Comment