HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 18, 2023

BADO HATUJAMALIZA NDIO KWANZA LIGI ZIMEANZA, MIKEKA YAKO INASOMAJE?

 

BADO hujatengeneza mkeka hadi sasa? Basi wahi sasa Wikendi hii mechi mbalimbali zitapigwa katika viwanja mbalimbali ambapo wewe unaweza kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda pesa kibao zinazotolewa na Meridianbet.

Laliga Santander itapamba moto ambapo kutakuw ana EL Classico kati ya Real Madrid dhidi ya Barcleona ambapo Barca bado ni vinara wa ligi huku Carlo na vijana wa Ancellotti wakishikilia nafasi ya pili.

Barca wana hamu na kubeba ndoo ya Laliga ambayo hawajachukua kwa muda sasa huku Real wao wakiwa ndio mabingw awatetezi wa ligi hiyo. Wewe unadhani nani ataibuka na ushindi kati yao? ODDS KUBWA unazipata hapa Meridianbet ingia na ucheze.

EPL itarindima wikendi hii, huku mechi mbambali kupigwa kwenye viwanja kadha wa kadha, Tottenham Spurs ya Mourinho watakuwa ugenini dhidi ya Southampton ambayo ndio vibonde wa ligi huku mechi iliyopita wametoka kutoa sare Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Conte na vijana wake kwa ODDS ya 1.81 kwa 4.41 kwa Soton kushinda.

Chelsea uso kwa uso dhidi ya Everton huku mechi ya mwisho kukutana The Blues aliondoka na ushindi, kesho unampa nafasi gani kwenye nafasi ya kushinda?. Naye Kinara wa ligi Arsenal atakuwa nyumbani kumualika Crystal Palace ambayo imemtimua kocha wake hii leo.

Serie A nako kule kutatimua vumbi hatari sana ambapo vinara wa ligi hiyo Napoli ambao mpaka sasa wamepoteza michezo miwili tuu hadi sasa watakuwa ugenini kukuwasha dhidi ya Torino majira ya saa 11:00 jioni. Je Napples kuendeleza ubabe hapo kesho?

Juventus watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Inter milan ya Inzaghi ambao tofauti ya pointi kati yao ni 12. Inter yupo nafasi ya 2, wakati kwa Juve yeye yupo nafasi ya 7. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ucheze.

Lakini si ligi hizo tu, Kule Bundesliga mambo yatakuwa si mambo ambapo vinara wa ligi hiyo FC Bayern Munich watakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Bayer Leverkusen ambao wanashikilia nafasi ya 9. Borrusia Dortmund wao watamenyana dhidi ya FC Cologne huku ushindi wa Dortmund utawafanye waongoze ligi huku wakiomba mabaya kwa Munich.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad