HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 23, 2022

Watumishi Ofisi ya Msajili Vyama vya Siasa Wapigwa Msasa Sheria ya Gharama za Uchaguzi

  

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Magohu Nzonzo akifungua mafunzo kwa watumishi wa ofisi hiyo kuhusu usimamizi wa sheria ya gharama za uchaguzi leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika kufuatia kuwepo kwa uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Amani Zanzibar na  Madiwani wa kata 12 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika tarehe 17 Desesmba 2022. (Picha na ORPP)




Baadhi ya washiriki wa mafunzo kuhusu usimamizi wa sheria ya gharama za uchaguzi toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakifuatilia mada wakati wa mafunzo hayo leo katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika kufuatia kuwepo kwa uchaguzi mgodo wa Ubunge jimbo la Amani Zanzibar na  Madiwani wa kata 12 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika tarehe 17 Desemba 2022.  (Picha na ORPP)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad