Makamu
wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mkuu wa Idara ya
Biashara ya Serikali wa NMB, Bi. Vicky Bishubo (kushoto), alipotembelea
banda lao na kumuelezwa kuhusu jitihada zao walizofanya kutoa Hati
Fungani ya ‘Jasiri Bond’ ambapo jumla ya Sh. bilioni 74.3 zilipatana kwa
ajili ya kuwawezesha akina mama wanaofanya shughuli za kiuchumi kwenye
sekta ndogo na za kati hapa chini. Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Ndg. Lawrence Mafuru (kushoto)
akijadiliana jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB,
Vicky Bishubo katika viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla
ya uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha kitaifa.
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto) akijadiliana jambo na
Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo, katika
viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa
maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha kitaifa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) Tuse Joune (kushoto)
akizungumza na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky
Bishubo jijini Mwanza wakati wa maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha
kitaifa.
Friday, November 25, 2022

NMB yatoa elimu ya huduma zao kwa wananchi Wiki ya Huduma ya Kifedha jijini Mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment