MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA BARAZA LA EID-ADH'HAA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2022

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA BARAZA LA EID-ADH'HAA

 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI  uliopo Kinondoni mkoani Dar es salaam kushiriki katika Swala na Baraza la  EiD-ADH’HAA kitaifa , Julai 10, 2022.  Kushoto ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt.  Abubakar Zubeir  bin Ally.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na   Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt.Abubakar Zubeir bin Ally  wakati alipowasili kwenye viwanja vya Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI  uliopo Kinondoni mkoani  Dar es salaam kushiriki katika Swala na Baraza la  EiD-ADH’HAA kitaifa , Julai 10, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally  (kushoto) baada ya kushiriki katika Swala na Baraza la  EiD-ADH’HAA kitaifa  kwenye Msikiti wa  Mfalme wa Morocco Muhammad  VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam, Julai 10, 2022.  Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Dkt. Alhad  Mussa Salum.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika  Swala ya  Eid- Adh’haa kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI  uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam kushiriki katika Swala na Baraza la  EiD-ADH’HAA kitaifa , Julai 10, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la EID – ADH’ HAA baada ya kushiriki katika swala iliyofanyika kitaifa  kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI  uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam, Julai 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad