HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2022

RAIS WA ZANZIBAR AHUTUBIA BARAZA LA EID AL HAJJ UKUMBI WA CHUO CHA AMALI MKOKOTONI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO JULAI 10,2022

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid Al Hajj, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022, na kuhudhuria na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Wananchi na wa Vyama vya Siasa Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al Hajj wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Baraza la Eid katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022. Na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Kombo Shaib na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Sharifa Omar Khalfan na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Alhajj katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akilihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022.

Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al Hajj wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad