HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2022

Taasisi ya JAI yasherehekea sikukuu ya Eid al-adha na wagonjwa waliolazwa JKCI


Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akishirikiana na Muuguzi Kiongozi wa zamu Prisca Kiyuka kumpatia chakula na juisi mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Silver Omary ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam 

Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Hamis Ramadhani akimpatia chakula mama wa mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo Mwajabu Juma ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akimpatia chakula mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Omary Omary ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kiongozi wa zamu wodi namba moja Cecilia Njawike
Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akimpatia chakula mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Joyce Tufanyenini ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wawakilishi kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) wakiongozwa na mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mwidini Athumani (mwenye koti jeusi) kushusha chakula, maji na juisi kwa ajili ya kuwapatia wagonjwa waliolazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Khamisi Mussa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad