HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 9, 2022

ALIYEKUWA MWENYEKITI UVCCM KIBTI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WILAYA YA KIBITI MKOANI PWANI



Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke (kushoto), akikabidhiwa fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo kwenye uchaguzi wa ndani wa CCM Wilaya ya Kibiti kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mwidini Yayaha Zakaria (kulia). Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijaza kulingana na taratibu za chama huku uchaguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu.



Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke, akionesha fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibiti. Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijaza kulingana na taratibu za chama huku uchaguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke, akikagua kwa umakini fomu za kuomba kuteuliwa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo. Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijaza kulingana na taratibu za chama huku uchanguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu. Anayeangalia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mwidini Yayaha Zakaria.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad