HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2022

KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, SLOTI YA STICKY 777 INAWEZA KUKUPA FAIDA KUBWA!

 

*Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

*Sloti ya Sticky 777

SLOTI ya Sticky 777 imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa vizuri zikiwa na rangi ang’avu zinazomsaidia mchezaji kuona vizuri ushindi na thamani ya alama hizo wakati wote wa mchezo. Sanjari na hilo, Sloti ya Sticky 777 inamfumo wa muziki ambao unaongeza burudani kwa mchezaji wa sloti hii.

 

Tunapozungumzia umuhimu wa alama, tunamaanisha ushindi mkubwa! Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ni Sticky 777 ambayo inamalipo makubwa kwenye mchezo wa kawaida. Ukizipata alama za Sticky 777 tatu, nne au tano, utapata Gurudumu la Bahati. Huu ni mchezo ambao unaweza kukupa faida mara 1000 zaidi ya dau lako.

 

Mchezo huu pia una alama nyingine kama vile almasi, kengele na matunda kama vile tikiti maji, nanasi, limao na mengine mengi. Unaweza kupata ushindi mkubwa kama alama 3 au zaidi ya hizi zitakusanywa. Katika mistari 10 ya ushindi, unaweza kushinda almasi na kengele zenye thamani kubwa lakini pia, unaweza kushinda miti ya matunda maarufu.

 

Zungusha Gurudumu la Bahati Kwenye Sloti ya Sticky 777
Sloti ya Sticky 777 inauwezo wa kurudia kuzungusha gurudumu, sifa hii inatokea pale ambapo wilds mbili zitatokea kwenye reels. Baadhi ya bonasi za gurudumu la bahati zinapatikana katika mfumu huu; alama tatu zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya kwanza ambapo utaweza kupata faida mara 50 zaidi ya dau lako. Alama 4 zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya 2 ambapo utaweza kupata faida mara 125 ya dau lako. Alama 5 zitakupeleka kwenye hatua ya 3 ambapo utaweza kupata faida mara 1000 zaidi ya dau lako.

 

Mchezaji ataweza kusogea kwenye hatua inayofuata endapo gudurumu litasimama likiwa na mishale katika hatua mojawapo kati ya hatua mbili. Kusonga mbele hakutoi zawadi ya pesa lakini ni mwanzo wa kusogea kwenye hatua zilizo na zawadi kubwa zaidi.

 

Sloti ya Sticky 777 kupitia Meridianbet ina machaguo mbalimbali. Unaweza kuchagua ubashiri ambapo mchezaji ataweza kupata faida mara mbili kwa kubashiri rangi za kadi. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet ili uwe miongoni mwa mabingwa wanaoburudika kupitia Sloti ya Sticky 777 sambamba na michezo mingine mingi!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad