Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 29 Juni 2022 akifanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Singapore Mheshimiwa Dkt. Vivian Balakrishnan, mazungumzo yaliofanyika Lisbon nchini Ureno yaliolenga kuongeza ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili hususani katika sekta ya usafirishaji wa majini, biashara pamoja bandari.
No comments:
Post a Comment