Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari
akiongoza kikao-kazi na watoa huduma za Mawasiliano katika Kanda ya
Ziwa, kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
tarehe 24 Mei, 2022 kujadili utendaji kazi na kusikiliza changamoto
zinazoikabili sekta ya mawasiliano katika kanda ya ziwa ili kuzipatia
ufumbuzi. Washiriki kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Shinyanga, Geita,
Mara na Simiyu wameshiriki kikao hicho. Picha na TCRA
Baadhi
ya watoa huduma za Mawasiliano katika Kanda ya Ziwa wakimsikiliza
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt. Jabiri Bakari
akiongoza kikao-kazi na watoa huduma katika kanda hiyo kilichofanyika
katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza tarehe 24 Mei, 2022,
kujadili utendaji kazi na kusikiliza changamoto zinazoikabili sekta ya
mawasiliano katika kanda ili kuzipatia ufumbuzi. Washiriki kutoka mikoa
ya Mwanza, Kagera, Shinyanga, Geita, Mara na Simiyu wameshiriki kikao
hicho. Picha na TCRA
Watoa
huduma za mawasiliano katika Kanda ya Ziwa wakishiriki kikao kazi na
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kilichoongozwa na Mkurugenzi Mkuu
wa Mamlaka hiyo Dkt. Jabiri Bakari na kufanyika katika ukumbi wa ofisi
ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza tarehe 24 Mei, 2022. Kikao hicho kililenga
kujadili utendaji kazi wa watoa huduma katika kanda hiyo ambapo TCRA
ilisikiliza na kupokea changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano
katika kanda ili kuzipatia ufumbuzi. Washiriki kutoka mikoa ya Mwanza,
Kagera, Shinyanga, Geita, Mara na Simiyu wameshiriki kikao hicho. Watoa
Huduma za Utangazaji kwa njia ya Redio, Televisheni na Mitandao,
Televisheni za Kebo, Watoa Huduma za Mawasiliano ya Simu, Wamiliki wa
Kampuni za Usafirishaji wa Vifurushi na Vipeto, Watoa Huduma za Intaneti
pamoja na Umoja wa Mafundi Simu Kanda ya Ziwa. Picha na TCRA
Tuesday, May 24, 2022

TCRA YAWASIKILIZA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KANDA YA ZIWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment