HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 10, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Nchini Uganda kuanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili Ikulu Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Uganda kwa ajili yake mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakati mara baada ya mapokezi rasmi yaliyofanyika katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakati wakielekea kwenye mazungumzo Rasmi katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Viongozi wa Taasisi mbalimbali kutoka Tanzania kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakati wa mapokezi rasmi yaliyofanyika katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakati akiwasalimia Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Uganda mara baada ya mapokezi rasmi yaliyofanyika katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad