HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 11, 2022

Rais Samia ahitimisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili nchini Uganda na kurejea Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo tarehe 11 Mei, 2022.

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Entebbe mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo tarehe 11 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Entebbe wakati akihitimisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo tarehe 11 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Entebbe mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo tarehe 11 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifurahia ngoma ya Utamaduni ya asili ya Uganda katika Uwanja wa ndege wa Entebbe, mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo tarehe 11 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad