HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 30, 2022

Benki ya CRDB yafutarisha wateja na wadau wake jijini Dar

Mkuu wa Wilaya wa Ubungo, Heri James (wa tatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia), Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum pamoja na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt. Fred Msemwa wakiwakabidhi sehemu ya sadaka ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Muwakilishi wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha Safina kilichopo Tuangoma, Ashura Mohamed ikiwa ni sadaka iliyotolewa na Benki ya CRDB kwa baadhi ya vituo. Makabidhiano hayo yalifanyika jana baada ya hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake, kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Julias Nyerere, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwaongoza wageni wake, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum pamoja na Mkuu wa Wilaya wa Ubungo, Heri James kupata futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake.
Mkuu wa Wilaya wa Ubungo, Heri James akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake pamoja na vituo vya watoto yatima iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Julias Nyerere, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake pamoja na vituo vya watoto yatima iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Julias Nyerere, jijini Dar es salaam.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake pamoja na vituo vya watoto yatima iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Julias Nyerere, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake pamoja na vituo vya watoto yatima iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Julias Nyerere, jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Al Barak cha Benki ya CRDB, Rashid Rashid akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake pamoja na vituo vya watoto yatima iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Julias Nyerere, jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wageni walifika kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja na wadau wake.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad