Diwani
wa Kata ya Msisi, Mathayo Malilo akiishukuru MKURABITA kuwapelekea
mradi huo wenye manufaa makubwa kwa wananchi kiuchumi. Ametoa shukrani
hizo wakati wa mafunzo ya kujengewa uelewa kuhusu faida za urasimishaji
wa mashamba yao.Meneja
Urasimishaji Ardhi Vijijini kutoka Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na
Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), akitoa mafunzo ya kuwajengea
uwezo na uelewa
wananchi wa Kijiji cha Msisi ambao ardhi yao itarasimishwa na kupatiwa hati miliki.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano MKURABITA, Glory Mbilimonyo akiendesha
mafunzo ya kuwajengea uelewa na uwezo wananchi wa kijiji hicho kuhusu
faida za urasimishaji ardhi.
Mmoja
wa wananchi wa Kijiji cha Msisi, akiuliza swali na kutoa shukrani kwa
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan
kutoa fedha za kuratibu mpango huo wa urasimishaji ardhi katika kijiji
chao.Wananchi wakiwa makini kusikiliza walipokuwa wakipatiwa mafunzo hayo.
PICHA
ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia
clip hii ya video, Maofisa wa MKURABITA wakiendesha mafunzo hayohuku
baadhi ya wanakijiji wakitoa shukrani kwa Rais Samia
Wednesday, March 30, 2022

KWA MSISI WAMSHUKURU RAIS SAMIA MKURABITA KURASIMISHA ARDHI YAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment