Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akiwapa vyeti vya kuwatambua wanachuo wanataaluma waliofanya vizuri wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya  yaliyofanyika Disemba 02,2021 jijini Mbeya.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka akitoa akisoma hotuba yake wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya  Mbeya  yaliyofanyika leo Disemba 02, 2021 jijini Mbeya.
Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya  yaliyofanyika leo Disemba 02,2021 jijini  Mbeya.
 
No comments:
Post a Comment