Mkutano Mkuu wa 53 wa TANESCO Sacoss wafanyika Dar es Salaam - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 31, 2021

Mkutano Mkuu wa 53 wa TANESCO Sacoss wafanyika Dar es Salaam

Waziri wa Kilimo na Ushirika akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa TANESCO Sacoss uliofanyika Dar es Salaam.
Waziri wa Kilimo na Ushirika, Profesa Adolf Mkenda na wajumbe wa Mkuano Mkuu wa 53 wa TANESCO Sacoss wakipiga makofi baada ya kuzinduliwa huduma ya kibenki mtandaoni iitwayo, Fosa Mobile app.
Wajumbe wa Mkutano wa 53 wa TANESCO Sacoss wakimsikiliza Waziri wa Kilimo na Ushirika Profesa, Adolf Mkenda wakati akifungua mkutano uliofanyika Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad