Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq
aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza
muda wake wa Kazi Nchini.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali
Al Mahrooq baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
ajili ya kuaga akiwa amemaliza muda wake wa Kazi Nchini
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akiagana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq
aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza
muda wake wa Kazi Nchini
No comments:
Post a Comment