Wananchi wakiendelea kupata huduma ya Bima ya Afya katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa mkoa wa Dar es Salaam. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF ) Mkoa wa Kinondoni , Innocent Mauki (kushoto) akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Mfuko huo namna ya kujaza fomu leo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa mkoa wa Dar es Salaam.
Maafisa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) wakiwa wanendelea na kazi ya kusajili wananchi wanaojitokeza kupata huduma ya bima ya Afya katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa mkoa wa Dar es Salaam.
Mnafungua SAA ngap na nikijisajili Leo napata kadi lini
ReplyDelete