WAKALA wa usajili ufilisi na udhamini RITA Ni moja ya Taasisi inayotoa na inaendelea na huduma katika maonesho ya 45 ya Sabasaba. Hivyo Wananchi wananufaika na maonyesho hayo huku wakijitoteza kwa wingi na kuendelea kupata huduma ya vyeti vya kuzaliwa kwa urahisi zaidi mpaka Sasa Wananchi waliojitokezaa na kufanya usajili huo takribani zaidi ya wnanchi Elufu Moja na zaidi washajiandikisha na watapatiwa vyeti vyao kabla ya maonyesho hayo kuisha, hivyo Wananchi mnakaribishwa kufika kwenye viwanja hivi ili kupata fursa ya huduma za RITA kwa urahisi na Ada yake ikiwa Ni shilingi 10000 tu, Amesema Msajili Mwandamizi kutoka RITA, Rehema Mushi
Msajili Mwandamizi kutoka RITA, Rehema Mushi akitoa huduma kwa mwananchi waliofika katika banda hilo leo katika ya maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Habari wa RITA, Edwin Mbekenga akitoa huduma kwa Wananchi waliojitokezaa kwenye banda la RITA katika maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment