HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 8, 2021

RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA DUMILA WILAYANI KILOSA NA GAIRO

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi  Dumila Wilayani Kilosa alipokuwa njiani akirejea Jijini Dodoma leo Julai 08,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Gairo wakati akimalizia ziara yake ya siku mbili mkoani Morogoro leo tarehe 08 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi pamoja na Wasanii mara baada ya kuhutubia wananchi wa Dumila mkoani Morogoro leo tarehe 08 Julai, 2021.
Wasanii mbalimbali kutoka Dar es Salaam wakimpungia mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Dumila mkoani Morogoro leo 08 Julai, 2021.
Wananchi wa Dumila wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mara baada ya kusimama katika eneo hilo leo 08 Julai, 2021. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad