Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana
na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip
Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 22,2021,
alipokua akielekea Nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa
kuanza kesho.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM
kilichokutana leo Juni 22,2021 katika Ukumbi wa Jakaya Convention Centre
Jijini Dodoma.
Tuesday, June 22, 2021
RAIS SAMIA AENDA NCHINI MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment