Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Maputo nchini Msumbiji - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 22, 2021

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Maputo nchini Msumbiji

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC utakaofanyika kesho tarehe 23 Juni, 2021.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad