Naibu Waziri Ulega Ashiriki Tamasha la Ushoroba Kisarawe - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 8, 2021

Naibu Waziri Ulega Ashiriki Tamasha la Ushoroba Kisarawe

 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akipiga baruti juu kuashiria ufunguzi rasmi wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.

 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega (mbele) akishiriki mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.

 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akizungumza na washiriki wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.

 
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Bi. Jokate Mwegelo akimvalisha medali moja ya washindi wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.

 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akimvalisha medali moja ya washindi wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.

 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akimvalisha medali mshindi wa mbio za kilomita 21 wakati wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.
 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akimpa zawadi mshindi wa mbio za kilomita 5 kwa wanawake wakati wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.
 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akiwa katika picha ya pamoja na  washindi wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega akifurahia mara baada ya kumaliza mbio za kilomita tano wakati wa mbio za Kisarawe Ushoroba Festival hapo jana wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani.

Picha na WHUSM

7 Machi, 2021


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad