RAIS DK.SHEIN AZINDUA KITABU CHA DIRA YA MAENDELEO ZANZIBAR MWAKA 2050 NA KUAGWA NA WANANCHI WA MIKOA MITANO YA ZANZIBAR UWANJA WA MAO ZEDONG LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 19, 2020

RAIS DK.SHEIN AZINDUA KITABU CHA DIRA YA MAENDELEO ZANZIBAR MWAKA 2050 NA KUAGWA NA WANANCHI WA MIKOA MITANO YA ZANZIBAR UWANJA WA MAO ZEDONG LEO

 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar kwa mwaka 2050, baada ya Uzinduzi huo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar leo 19/10/2020, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi naWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman, baada ya Uzinduzi huo uliofanyika leo 19/10/2020, katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.


BAADHI ya Wazanzibar wanaoishi Nje Diaspora wakifuatilia hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuagwa na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, iliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizindua Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, pamoja na kuagwa na Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar ,hafla iliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar leo 19/10/2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar mwaka 2050. Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa Msumbiji anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Balozi Jorge Augusto Menezez, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.MSANII wa Kizazi Kipya Zanzibar IT akitowa burudani wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar mwaka 2050 na kuagwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar , iliofanyika leo katika uwanja wa Mao Zedong 19/10/2020.


MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Flava Zuchu akitowa burudani kwa Waqnanchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar katika hafla ya Kuagwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar mwaka 2050, uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong JijiniZanzibar.


MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman akisoma Taarifa ya Mikoa Mitano ya Zanzibar wa katika hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijiniu Zanzibar na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar ya Mwaka 2050.


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Haji Omar Kheri, akizungumza na kuzitaja zawadi maalum alizobabidhiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar, wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar leo 9/10/2020BAADHI ya Wawakilishi wa Mashirika la Umoja wa Mataifa na Balozi Mdogo wa Mumbuji , wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar mwaka 2050 na kuagwa na Wananchi wa Mikoa Mitano
ya Zanzibar katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa zawadi ya Mlango wa Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, zilizotolewa na Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar, hafla hiyto imefanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar leo 19/10/2020MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akikabidhiwa zawadi iliotolewa na Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar, akikabidhiwa na Bi. Kazija Ussi Ali na (kushoto kwa Mama) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar wakati wa hafla ya kumuaga na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, iliofanyika katika uwanja wa Maio Zedong Jijini Zanzibar leo 19/10/2020.WANANCHI wa Mikoa Mitano ya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar Mwaka 2050 na kumuaga iliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong leoBAADHI ya Wafanyakazi wa SMZ wakishangilia wakati wa hafla ya Kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar mwaka 2050.(hayupo pichani ) akiwahutubia katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanbzibar.BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano wa kumuaga na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar Mwaka 2050, uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini ZanzibarBAADHI ya Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na Uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Jaji Mkuu wa Zanzibar. Mhe Omar Othman Makungu, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiuongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Katibu wa CCM Zanzibar Dr., Abdall Juma Mabodi na (kushoto kwa Makamu) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo
pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika uwanja wa Mao Zedong leo
19/10/2020.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad